VICTORIA PALACE MOTEL

Karibu victoria palace hotel iliyoko jijini Mwanza, Tanzania. Tunatoa huduma zifuatazo; 1.huduma ya chakula na vinywaji baridi 2.huduma ya vyumba vya kulala 3.huduma ya kumbi za mikutano 4.sehemu ya mazoezi GYM 5.swimming pool na mengine mengi yatakayokufanya husijutie kuwepo hapo pamoja nasi. Karibu upate ofa kabambe na mandhari ya upepo mwanana wa ziwa victoria. Tuko mtaa wa Capripoint karibu kabisa na ikulu ndogo.
* Report this group X