Dar Poultry Farmers

Group hili ni kwa wafugaji wa kuku wa kisasa na kienyeji wa DSM. Lengo la group ni kujua wafugaji wote na kuweza kufahamu uwezo wa uzalishaji wa kuku wa nyama na mayai na kulinganisha mahitaji ya soko la mkoa wa DSM kila mmoja ajitambulishe mahali anapofanya shughuli zake za ufugaji na kiasi chake cha uzalishaji kwa week, mwezi. Hili group kishirikiana na social enterprises zingine ziko katika harakati ya kusaidia wafugaji kugeuza ufugaji kuwa sehemu ya kubadili maisha kiuchumi hivyo basi tunaomba kisipostiwe kitu chochote nje ya hayo tuliyopendekeza. UTAWALA
* Report this group X